Mwimbaji wa nyimbo za Injili “Eze Kwizera” anasema kua Video ya wimbo Nashukuru itatoka mwezi wa Jenuary

By  |  0 Comments

Eze Kwizera ni Muimbaji wa Gospel kutoka Burundi ambae kazi zake anazifanyia marekani, msanii huu wa Gospel ambae ni mshindi wa SHEMEZA ARTIST AWARDS 2016, ametakangaza kua wimbo wak “NASHUKURU” itatoka mwakani mwezi wa Jenuary.
Akisema ya kwamba Kampuni inayo tengeneza vidoes “UNA” ilifanya kazi ya shooting kwa wimbo wa msanii huo kama mwezi wa tina (September). Aliendelea kusema kua producer wa UNA anahariri alubamu hiyo mwezi huu wa December.

Kwa maelezo zaidi, enedeleeni kua karibu nasi, tutawaeleza lini Video hiyo itatoka!

Share
Profile photo of Burundian Gospel

Share

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

error: Copyright reserved by The Shemeza Co. ©2017
Skip to toolbar