Fidel Murua anapongezwa na Shemeza Company kwakua mwana mziki kutoka Burundi alie peleka mbele mziki wa gospel mwaka 2016

By  |  0 Comments

Japokua mwana mziki huu katika mashindano ya Shemeza Artist 2016 alishinda nafasi ya tatu, kazi zake zilizidi kuvuma na kupanda mwaka huu wa 2016.

Kampuni ya Shemeza inao saidi kusambaza na ku support waimbaji wa nyimbo za Injili imeona kua yeye ndo wa kwanza mwaka huu kubeba nasafi ya Muimbaji wa Gospel wa Mwaka 2016 kwa kazi nzuri alio ifanya kufanya kolabu na nyota wa Tanzania “Amani Annoint Essau” katika wimbo wa “UJE LEO”.




Je muimbaji huu mwakani wa 2017 anaweza kuchukua tuzo la Shemeza Artist Awards 2017? kwa mwendo kasi wake wadahu husema kua akiendelea mwendo huu wenda anaweza kushika number ya kwanza. Tunampokengeza kwa kazi zake nzuri za kuinua nyimbo za injili katika industry ya Burundian Gospel. Ivi kweli anastahili kuitwa Nyota ya Burundi kwa ajali ya gospel!

Share
Profile photo of Burundian Gospel

Share

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

error: Copyright reserved by The Shemeza Co. ©2017
Skip to toolbar