Mwimbaji wa Nyimbo za Injili “Inyange Adriano ameamua kutangaza kua amepata Meneja wa kazi zake za uwimbaji

By  |  0 Comments

Adriano

 

Inyange Adriano:

Kwanza, awasalimu wapenzi wa nyimbo za Injili Nchini Burundi na Nje. Nawaombe pia ili tuendelee kuvumulia kwa yale yote ambao yako yanatokea katika Nchi yetu ya Burundi. Baada ya ma produza zangu Denny Pro na Remy One Pro, kwa kujitolea sana  ili wafanikishe alubamu yangu ambao inaenda kwa Jina Ubaya wa Shetani, kwa upande wa Audios (Denny Pro) na upande wa Videos (Remy One Pro), wakafanya kazi kwa bidii ili alubamu yangu ikamilike, ndipo nikatembelea kwanza katika Nchi jirani ya Tanzania katika Mkowa wa Mwanza.. Lakini baada ya hapo sija acha kazi zangu za kuimba..namshukru Mungu kwakuwa yeye aliendelea kunibariki sana.

kwasasa hivi napozifanya kazi zangu bado naendelea kuzifanya kwa support kubwa za hawo ma producers zangu ambaye ni Danny pro upande wa Audios na Remy one pro upande wa Videos..lakini sasa hivi nachokitaka kukitangaza nikwamba sasa kazi zangu zitaendelea kufanywa na kutangazwa nikiwa chini ya Manager wangu Ndikumana Silas kwa upande wa sasa hivi ambaye ni mmoja katika wasimamizi wa kazi za Burundian Gospel Music na Shemeza Studios, Shemeza Stores pande za Kenya Nairobi.

akikiri yeye kwamba wapo watu ambaye wameziona kazi zangu wakaamua kuni support kupitia jina lake. Hapo kazi zote ambazo nitakua nahitaji kuzifanya nipo mikononi mwao.. Sana sana pande za videos na audios nakuniwezesha kusambaza Album na nyimbo zangu nakueza kunifikisha kwa kiwango cha hali ya juu. Kwa ufupi ni hayo mengine tutaendelea kuwataarifu…lakini kazi zakwanza ambazo tunategemea kuzifanya ni kumalizia videos za album yangu na kuzindua album hio. Asanteni wa pendwa wa nyimbo za injili. Amen

 

Ndikumana Silas, Manager wangu Mpya 

Silas

 

Denny Pro – Audio Producer 

Danny

 

 

Remy One Pro – Video producer 

Remy

Share
Profile photo of Burundian Gospel

Share

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

error: Copyright reserved by The Shemeza Co. ©2017
Skip to toolbar