Tamasha litakalo fanyika kwa ajili ya CD & DVD launching ya Muimbaji “AMNOBE PILIPILI

By  |  0 Comments

Tarehe 10 mwezi huu wa kumi na mbili, mwaka wa 2016 mji wa Tucker, Georgia USA kutafanyika Tamasha ya ku launch DVD pamoja na CD za Muimbaji Amnobe Pilipili. Kutakuwepo na waimbaji mbalimbali kama akina Makechi na Mweshama nyota za gospel kubwa kutoka East Afrika apa Marekani.




Maelezo zaidi kutoka kwenye picha hii! Na baada ya mkutano tutajaribu kuongea na Amnobe Pilipili atueleze ilivyokua kwenye Tamasha hilo!
ea-concert

Share
Profile photo of Burundian Gospel

Share

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

error: Copyright reserved by The Shemeza Co. ©2017
Skip to toolbar